VICTOR Osimhen na Akor Adams wameunga mabao muhimu kupeleka Nigeria hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2025 baada ya kuichapa Algeria mabao 2-0.
Tanzania imemaliza katika nafasi ya 11 kwenye mashindano ya dunia ya mbio za nyika zinazoendelea Tallahassee, Florida nchini ...
HATIMAYE Klabu ya Pamba jiji ya Mwanza imezindua rasmi jezi za msimu wa 2025/2026 na uuzaji wake utaanza leo katika mkoa wa ...
MISHAHARA inayolipwa kwenye kikosi cha Arsenal imewekwa bayana baada ya supastaa Bukayo Saka kukubali kusaini mkataba mpya wa ...
RUBEN Amorim ameripotiwa yupo kwenye hatua nzuri ya kupata kazi mpya huko kwao Ureno ikiwa ni siku chache tu tangu alipofutwa ...
ILE kadi nyekundu aliyoonyeshwa kiungo wa Yanga, Mohamed Damaro katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 dhidi ...
JUVENTUS inaongoza mbio za kuwania saini ya kiungo wa Manchester City na timu ya taifa ya Ureno, Bernardo Silva, 31, ambaye ...
RICHARLISON amepuuza kabisa madai kwamba anataka kuondoka Tottenham Hotspur mwishoni mwa msimu huu, kupitia chapisho lenye ...
ANTHONY Edwards amekuwa mchezaji wa tatu mwenye umri mdogo zaidi katika historia ya Ligi ya Kikapu Marekani (NBA) kufikisha ...
Ndani ya Bongofleva kuna wasanii wachache wenye uwezo wa kuimba na kucheza kwa umahiri, miongoni mwa Nedy Music ambaye kwa ...
RAIS Samia Saluhu Hassan ameipongeza timu ya taifa ‘Taifa Stars’ kwa kufika 16 bora ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025 ...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kuwa alishtushwa na taarifa za mgomo wa wachezaji wa Taifa Stars kabla ya Fainali za AFCON 2025 kutokana na madai ya posho.