Dar es Salaam. Ligi Kuu Tanzania Bara itarejea Jumamosi, Novemba 8, 2025 baada ya kusimama kwa muda hivi karibuni. Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na ile ya Championship zilisimama kwa muda katika ...
Dar es Salaam. Tundu Lissu, mshtakiwa katika kesi ya uhaini amechuana kwa maswali na shahidi wa kwanza wa Jamhuri, mchuano uliodumu kwa takribani saa sita. Lissu, ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha ...
Mkuu wa Wilaya ya Kishapu Peter Masindi mkono wa kulia akimkabidhi Trekta Mkulima Sagala Luminu kwa ajili ya shughuli za kilimo kwa kutumia teknolojia ya kisasa Shinyanga. Wakulima wilayani Kishapu ...
Mbeya. Mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu Mzumbe, Ndaki ya Mbeya, Shyrose Mabula, aliyeuawa kikatili kisha kuchomwa moto, umezikwa, huku waombolezaji wakipaza sauti kukemea tukio hilo, ...
Mgombea wa urais kupitia Chama cha Ada Tadea, Georges Busungu (kushoto) na Mgombea mwenza Ali Makame Issa wakiwasili kwenye mkutano wa hadhara wa kujinadi kwa wananchi katika viwanja vya Tangamano ...
Rais Mstaafu Dk Mohamed Shein akimkabidhi ilani mgombea wa CCM, Dk Hussein Mwinyi wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho katika viwanja vya Mnazimmoja Unguja Zanzibar Unguja. Rais mstaafu wa ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania sasa iko tayari kuanza usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, baada ya kuipangia ...
Dar es Salaam. Shauri la utata wa uteuzi wa mgombea urais wa chama cha ACT-Wazalendo katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 limetajwa mahakamani kwa mara ya kwanza, huku Mahakama ikisema haitasita ...
Vyama vya siasa nchini vimekuwa na mitazamo tofauti kuhusu aina na muundo wa muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku baadhi vikiunga mkono muungano uliopo ...
Mbeya/Moro. Wakati baadhi ya wafuasi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Mbalizi Road jijini Mbeya wakiandamana kupinga uteuzi wa mgombea udiwani, wenzao wa Ulanga mkoani Morogoro wametishia ...
Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na wahariri na waandishi wa habari waandamizi katika ofisi ndogo za makao makuu ya chama hicho, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Agosti 11, ...
Tabora. Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora linachunguza tukio la kupotea kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitatu anayeishi na wazazi wake Kata ya Mpela, Manispaa ya Tabora. Akizungumza na Mwananchi kwa njia ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results