DAR ES SALAAM; YANGA imeibuka na ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya KMC mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika leo Uwanja wa ...
DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida, amesema Tanzania ikiwa na amani ...
ENGLAND: Manchester City watakuwa uwanja wa nyumbani wa Etihad kuwakaribisha Liverpool, mchezo wa Ligi Kuu England utakaopigwa saa 1:30 usiku wa leo. City wanaingia katika mchezo huo wakiwa nafasi ya ...
ILI taifa lolote lipate maendeleo, kuna mambo ya msingi yanayopaswa kuzingatiwa, ikiwemo uwepo wa amani na utulivu. Amani ...
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wadau na jamii kuendelea kutoa elimu kwa vijana hasa walio kwenye ...
Na Mwandishi Maalumu BODI ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza rasmi awamu ya pili ya upangaji wa mikopo ...
JESHI la Polisi nchini limebainisha athari kubwa zilizotokana na vurugu, uporaji na uvunjifu wa amani vilivyotokea Oktoba 29, ...
RAIS Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuhakikisha mchakato wa mazungumzo ya maridhiano unafanikiwa ili kuwa na taifa lenye ...
KATIKA kukabiliana na kudhibiti mfumuko wa bei za bidhaa za chakula uliojitokeza nchini, Shirika la Bandari la Zanzibar (ZPC) limetangaza kupunguza kwa asilimia 80 ya tozo kwa bidhaa zote za chakula z ...
NOVEMBA 4, mwaka 2025 Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) lilimtangaza Miguel Gamondi kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa ...
DAR ES SALAAM: MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amekutana na wadau wa Nishati ya Mafuta katika kikao maalumu ...
MARA: Mawakala wa utalii 120 kutoka nchini Marekani wameonyesha kuvutiwa na vivutio mbalimbali vya utalii vilivyopo nchini ...