Dar es Salaam. Droo ya mechi za mchujo za Ligi ya Mabingwa Ulaya kuwania nafasi nane za kucheza hatua ya 16 bora inatarajiwa kufanyika leo kuanzia saa 8:00 mchana kwa muda wa Tanzania. Tukio hilo ...
Wafanyabiashara wa mbogamboga na matunda wakiuza bidhaa zao kando ya barabara ya madaraka Manispaa ya Morogoro kabla ya kuondolewa na Halmashauri ya Manispaa hiyo na kuwataka warejee kwenye masoko ...
Wagombea Uwakilishi wa chama cha ACT Wazalendo wakiwa katika Mahakama Kuu ya Zanzibar iliyopo Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja. Picha na Zuleikha Fatawi Unguja. Kesi za waliokuwa wagombea ubunge wa Chama ...
Geita. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeingilia kati mgogoro wa matumizi ya ardhi unaohusisha Halmashauri ya Wilaya ya Geita na mwekezaji katika eneo la Mamlaka ya Mji Mdogo wa Katoro ...
Pointi nne ambazo imeshakusanya hadi sasa kwenye Kundi B la mashindano hayo, zinaifanya Yanga iendelee kubakia katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa kundi lake linaloongozwa na Al Ahly yenye pointi ...
Simiyu. Wananchi wa Mkoa wa Simiyu wamehimizwa kutumia misaada ya kisheria inayotolewa na Serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali ili kujua haki zao na kutatua migogoro kwa njia ya amani ...
London, England. Aliyekuwa kocha wa Arsenal, Arsène Wenger, juzi amempongeza vikali Michael Carrick kwa kuandaa mpango kamili wa mchezo uliowawezesha Manchester United kuwashinda wapinzani wao na ...
Dar es Salaam. Mshambuliaji wa Azam, Jephte Kitambala, ameandika rekodi mpya baada ya kuifungia timu hiyo bao la kwanza la michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu, kufuatia ushindi wa kikosi ...
Dar es Salaam. Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imeanza kufanya kazi zake faragha, ikiwazuia waandishi wa habari kuingia katika ukumbi ambao waathirika wa ...
Mbeya. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mbeya kimethibitisha kuwa baadhi ya viongozi wake waliokuwa wakishikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma mbalimbali, wameachiwa huru kwa ...
Mpango wa Bima ya Afya kwa Wote unaanza rasmi leo, Januari 26, 2026, ukiwa na lengo la kuhakikisha kila Mtanzania anapata huduma za afya bila kikwazo cha fedha. Uamuzi wa Tume ya Kuchunguza Matukio ...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF),Joseph Butiku akizungumza katika mkutano wa wazee wa kuimarisha haki,umoja na amani kwa Watanzania,uliofanyika jijini Dar es Salaam. Picha na Michael ...