MSANII nyota wa filamu anayetamba katika tamthilia ya Jua Kali, Wanswekula Zacharia ‘Dora’ amesema hana muda na wanaomshangaa ...
LEO, Jumamosi macho na masikio ya mashabiki wa soka barani Afrika yataelekezwa Morocco kushuhudia Algeria ikipambana dhidi ya ...
JANA usiku Yanga ilikuwa uwanjani kucheza mechi ya nusu fainali katika Kombe la Mapinduzi 2026 dhidi ya Singida Black Stars, ...
MJADALA wa moto kwa sasa ni kuhusu kocha Ruben Amorim. Manchester United imemfuta kazi kocha huyo, lakini kinachojadiliwa, je ...
MSHAMBULIAJI kijana wa Cameroon, Christian Michel Kofane ameandika historia mapya katika Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), ...
YANGA bado haijakubali matokeo inamtaka kiungo Allan Okello na sasa bosi mmoja wa juu alikuwa nchini Uganda akipambana na ...
VIONGOZI wa Nyassa Big Bullets ya Malawi wameweka msimamo mkali baada ya kukataa ombi la Simba la kumtaka winga Chikumbutso ...
YANGA imefuzu fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 baada ya kuifunga Singida Black Stars bao 1-0 katika mechi ya nusu fainali ...
BAO la Iliman Ndiaye katika kipindi cha kwanza lilitosha kuipa Senegal ushindi dhidi ya Mali iliyokuwa na wachezaji 10 na ...
Amorim ameendelea kuwa katika simulizi ile ile ya kitanda cha hospitali ile ile ambacho kimeshindwa kumtibu mgonjwa. Tusubiri ...
Simba na Yanga ni timu kongwe na ndio kivutio cha mashabiki wengi Tanzania. Ni ngumu kukuta familia haina shabiki wa moja ...