Dar es Salaam. Ligi Kuu Tanzania Bara itarejea Jumamosi, Novemba 8, 2025 baada ya kusimama kwa muda hivi karibuni. Ligi Kuu Tanzania Bara pamoja na ile ya Championship zilisimama kwa muda katika ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Peter Elias ni mwandishi wa gazeti la Mwananchi mwenye shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma (BA.PSPA) aliyoipata katika Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom). Amepata pia mafunzo ya uandishi wa ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Palamaganda Kabudi, akimkabidha moja ya vitendea kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari, Tirdo Mhando wakati wa hafla ya ...
Moshi. Wakati mamia ya waombolezaji wakishiriki maziko ya mfanyabiashara aliyejiua kwa kujinyonga mjini Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, Ronald Malisa (35), Kanisa Katoliki limeeleza sababu za kumzika ...
Hamidu Mwanga kutoka Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam, alihitimisha kuwa ushahidi wa Jamhuri umethibitisha kuwa, Mussa Hamis alifariki na kifo chake hakikuwa cha kawaida. Katika sehemu hii, ...
Dar es Salaam. Miaka 10 ya Kassim Majaliwa kama Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imekuwa ya kipekee machoni mwa Watanzania, kuanzia kwenye uteuzi wake hadi sasa anapoondoka katika ofisi ...
Neno Lugalo kwa wakazi wa mikoa ya Dar es Salaam na Iringa, siyo geni.Kwa Iringa jina hilo linawarudisha hadi miaka ya 1891 wakati Chifu Mkwawa wa Wahehe alipokuwa akikabiliana na jeshi la Mjerumani.
Dar es Salaam. Mei Mosi ya mwaka huu imeacha kicheko kwa maelfu ya watumishi wa umma baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa asilimia 35.1 kuanzia Julai ...
Dar es Salaam. Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi, Elizabeth Edward amesema taasisi za mikopo kwenye jamii zina faida na hasara zake. Amesema wakati benki zikisubiri wakopaji lakini watu wamekuwa ...
Vyama vya siasa nchini vimekuwa na mitazamo tofauti kuhusu aina na muundo wa muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar uliozaa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku baadhi vikiunga mkono muungano uliopo ...