Caracas. Ikiwa ni siku moja imepita tangu vikosi vya Marekani kumkamata Rais Nicolas Maduro, Serikali ya Venezuela imetoa ujumbe kwa jumuiya ya kimataifa na hasa kwa Marekani, ikisisitiza dhamira yake ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features.
Dar es Salaam. Mwandishi wa Gazeti la Mwananchi, Elizabeth Edward amesema taasisi za mikopo kwenye jamii zina faida na hasara zake. Amesema wakati benki zikisubiri wakopaji lakini watu wamekuwa ...
Dar es Salaam. Ikiwa imepita miezi sita tangu alipofariki dunia, Rais mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu, bado mazishi yake yametawaliwa na sintofahamu kutokana na mvutano kati ya familia na Serikali ya ...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi akizungumza wakati akifungua mkutano wa Anga na Utalii Afrika (Aviadev 2025) Unguja Zanzibar. Mkutano huo umezkutanisha nchi 50 na mashirika 48 duniani. Unguja.
Dar es Salaam. Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imeonya uwepo wa mvua na radi kwa kipindi cha Januari 1 hadi 10, 2026, huku vipindi vya mvua vikitarajiwa katika baadhi ya maeneo ya Tanzania.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Dk Ashatu Kijaji,akiwa na baadhi ya watalii kutoka nchini Italia,waliopo nchini kutembelea vivutio mbalimbali ambapo jana walitembelea Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, ...
Nahodha wa Meli ya Utafiti wa Bahari, Dk Fridtjof Nansen, Tommy Steffewsen, akionyesha mifumo inayotumika katika utafiti baada ya kuwasili Zanzibar kwa ajili ya utafiti wa samaki ndani ya bahari ya ...
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania sasa iko tayari kuanza usikilizaji wa kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, baada ya kuipangia ...
Dar es Salaam. Baada ya kudumu kwa miaka 17 ndani ya kampuni, Bakari Machumu ameteuliwa kuwa mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL) baada ya nafasi hiyo kuwa wazi kwa ...
Mbeya. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya memhukumu kutumikia kifungo cha miaka mitatu nasiku 14 jela, Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kuendesha huduma ya kikosi ...
Mwanza. Unajua kuwa akili yako inaweza kuimarika kwa mambo kadhaa madogomadogo unayoweza kuyafanya kila siku? Wataalam wa afya wameeleza mbinu saba za kuboresha uwezo wa akili na kufikiri. Pamoja na ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results